Nenda kwenye maudhui
ZETRATECHNOLOGIES
Pata Huduma

ZETRA TECHNOLOGIES LIMITED

ZETRA BMS — biashara kwa mtazamo mmoja

Unganisha mauzo, bidhaa, stock, wateja, mikopo, matumizi na ripoti katika mfumo mmoja wa biashara. Gundua jinsi ZETRA BMS inavyoweza kusaidia shughuli zako.

Z

Muhtasari wa Biashara

ZETRA BMS

MauzoZETRA
StockZETRA
ShughuliZETRA
Shughuli za biashara
Ripoti
Mifumo BoraBiashara Imara
Mfano wa muonekano — si taarifa halisi za biashara

Uwezo mkuu

Mauzo na POS

Rekodi mauzo, risiti na njia za malipo na shughuli za cashier.

Bidhaa na stock

Panga bidhaa na fuatilia stock movement, hali na thamani ya stock.

Wateja, CRM na mikopo

Hifadhi taarifa za wateja, historia ya miamala, mikopo, madeni na malipo.

Matumizi na fedha

Rekodi matumizi na fuatilia mapato kwa taarifa za fedha zilizopangwa.

Ripoti na taarifa za biashara

Angalia muhtasari wa mauzo, stock, matumizi na shughuli kusaidia maamuzi.

Matawi na timu

Simamia matawi, majukumu ya wafanyakazi na shughuli zilizounganishwa.

Muonekano halisi wa ZETRA BMS

Tazama picha zilizotolewa za desktop na mobile zinazoonyesha shughuli halisi za biashara.

Lugha za UI halisi na takwimu za demo zilizoidhinishwa zimehifadhiwa. Majina na simu za wateja pekee zimefichwa. Hizi ni picha tuli, si demo inayoweza kutumiwa.

Matumizi kwenye desktop

Matumizi kwenye mobile

Faida za vitendo kwa biashara

Unganisha kumbukumbu, ona shughuli wazi, panga stock na fedha na tumia ripoti kwa maamuzi. Matokeo hutegemea setup, taarifa na matumizi.

Inafaa kwa nani?

Biashara za rejareja na jumla zinazohitaji kuunganisha mauzo, stock, wateja na fedha. Tuombe kutathmini taratibu kabla ya package.

Matumizi kwenye web na simu

Website ina web gateway na reference ya Android app. Thibitisha upatikanaji na compatibility na timu. Michoro si screenshots halisi za bidhaa.

Subscriptions na bei

ZETRA BMS ina packages za subscription. Omba plans, bei, platform options na vipengele vya sasa kutoka timu. Bei hazichapishwi mpaka zithibitishwe.

Hatua yako ijayo

Tujenge Mfumo Wako Ujao

Tuambie unachotaka kujenga. Tuchunguze suluhisho la kidijitali linalofaa biashara yako.