Nenda kwenye maudhui
ZETRATECHNOLOGIES
Pata Huduma

Dhana ya Muundo wa Application na ZETRA

Mifumo ya Biashara

Kutoka apps za simu hadi mifumo ya kampuni: suluhisho kulingana na shughuli, bajeti na malengo yako.

Muundo na maudhui ya kuonyesha — si mradi ulioagizwa na mteja.

Dhana ya muundo wa application

Mifumo ya Biashara

Chunguza uzoefu maalumu wa Mifumo ya Biashara, wenye hatua na zana zinazolingana na taasisi yako.

Gundua uwezekano

  • Mauzo
  • Mienendo ya stoo
  • Reports
  • Mahitaji, roles na data flows hukubaliwa kabla ya ujenzi. Integrations zinategemea idhini za provider na quotation tofauti.

Mfano wa matumizi

Unganisha shughuli za biashara na reports.

Omba bei ya mfumo maalumu
Mifumo ya Biashara
Mwonekano wa kiolesura

Mauzo

Mauzo
Mienendo ya stoo
Reports
Dhana ya kiolesura; si application inayotumika.

Omba ushauri

Una wazo la application au mfumo wa kidijitali? Timu yetu inaweza kusikiliza, kujadili changamoto zako na kupanga suluhisho kulingana na shughuli, bajeti na malengo yako. Mifano hii si kikomo cha tunayoweza kujadili.

  1. Shiriki wazo lako
  2. Jadiliana na timu yetu
  3. Mahitaji na mpango wa suluhisho
  4. Pendekezo la mradi na quotation
  5. Ujenzi, majaribio na ukabidhi
Omba ushauri