Dhana ya Muundo wa Application na ZETRA
POS na Stoo
Kutoka apps za simu hadi mifumo ya kampuni: suluhisho kulingana na shughuli, bajeti na malengo yako.
Muundo na maudhui ya kuonyesha — si mradi ulioagizwa na mteja.
POS na Stoo
Chunguza uzoefu maalumu wa POS na Stoo, wenye hatua na zana zinazolingana na taasisi yako.
Gundua uwezekano
- Checkout workflow
- Stoo
- Tahadhari za stock
- Mahitaji, roles na data flows hukubaliwa kabla ya ujenzi. Integrations zinategemea idhini za provider na quotation tofauti.
Mfano wa matumizi
Fuatilia mienendo ya bidhaa na mauzo.
Omba bei ya mfumo maalumuPOS na Stoo
Mwonekano wa kiolesuraCheckout workflowMwonekano wa kiolesura 01 StooMwonekano wa kiolesura 02 Tahadhari za stockMwonekano wa kiolesura 03
Checkout workflow
Omba ushauri
Una wazo la application au mfumo wa kidijitali? Timu yetu inaweza kusikiliza, kujadili changamoto zako na kupanga suluhisho kulingana na shughuli, bajeti na malengo yako. Mifano hii si kikomo cha tunayoweza kujadili.
- Shiriki wazo lako
- Jadiliana na timu yetu
- Mahitaji na mpango wa suluhisho
- Pendekezo la mradi na quotation
- Ujenzi, majaribio na ukabidhi